Just another WordPress.com site

Assalaam alaykum.

Jukwaa la Waislamu la Kuratibu Mabadiliko ya Katiba Tanzania (Juwakata) linakaribisha maoni ya kuboresha mapendekezo yetu tayari kwa ajili ya kuandaa kabrasha lenye maoni yetu kwenda Tume ya Katiba.

Unachotakiwa kufanya ni Kwanza; soma maoni yetu kwenye post hapa chini, Pili, kutoa maoni yako, bofya “Leave Comments” chini kulia kwa post hii au andika maoni yako na kuyawasilisha kwenye anuani ya barua pepe ifuatayo;-

jukwaatz@gmail.com

Nyote mnakaribishwa.

Advertisements

Comments on: "Je, Una Maoni ya Kuboresha Maoni Yetu?" (2)

  1. Asalam aIaykum-ma0ni yangu hayahusian na mchang0 wa katiba,iIa nipendeIea zaid mufungue page ktk faceb00k iIi iwe rahic kwa watu kuwapata kirahic,kuwa na bI0g yenu binafc c waz0 baya iIa Ia muhim je ni wangapi watafaham km kuna bI0g ya kuratibu ma0ni ya katiba?ahsante

    • Wa alaykum salaam. Wangapi wanafahamu? Wewe ni mmoja wao. Tumeitangaza kwa wadau wengi kama hakuna wachangiaji ni uvivu wetu wenyewe. Halafu Face book huwezi kudhibiti wachangiaji kama kwenye blog ambako unayapitia maoni kabla ya kuyakubali (Una-approve).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Tag Cloud

%d bloggers like this: