Just another WordPress.com site

Archive for July, 2012

Je, Una Maoni ya Kuboresha Maoni Yetu?

Assalaam alaykum.

Jukwaa la Waislamu la Kuratibu Mabadiliko ya Katiba Tanzania (Juwakata) linakaribisha maoni ya kuboresha mapendekezo yetu tayari kwa ajili ya kuandaa kabrasha lenye maoni yetu kwenda Tume ya Katiba.

Unachotakiwa kufanya ni Kwanza; soma maoni yetu kwenye post hapa chini, Pili, kutoa maoni yako, bofya “Leave Comments” chini kulia kwa post hii au andika maoni yako na kuyawasilisha kwenye anuani ya barua pepe ifuatayo;-

jukwaatz@gmail.com

Nyote mnakaribishwa.

Advertisements

Tag Cloud